Written by: dadamkuu19@gmail.com January 27, 2025 Kila ifikapo tarehe 28/5 huwa tunaadhimisha siku ya hedhi dunia, kwa ushirikiano na ofisi ya Mkuu wa Wilaya tumetembelea shuleMSUNJILE Kongwa , Kata ya Sejeli kwa ajili ya kutoa elimu ya usafi wa hedhi na kugawa pedi 600 kwa watoto wa kike wanaotoka kaya maskini, Prev Post Vision is “ To. Next Post Ilikuwa ni ndoto toka.