Written by: dadamkuu19@gmail.com January 27, 2025 Ilikuwa ni ndoto toka 2019 kuanzisha program hii, lengo ni kutumia maigizo kuelimisha na kufanya uchechemuzi kupitia mitandao.Huu ni mwanzo tu wa safari hii, tunaomba ushirikiano wenu. Leo tumezindua video yetu ya kwanza,itakuwa Youtub Prev Post Kila ifikapo tarehe 28/5.